Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2019 Mzee Mkonea Ali ameshangazwa na mradi wa kisima cha maji cha jadi katika kijiji cha Matomondo wilayani Songea mkoani Ruvuma
Wakazi 128 wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma waliokuwa na matatizo ya kutoona wamefanyiwa upasuaji wa macho na kuana kuona tena.
Mtazame Mhifadhi wa Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mkoani Ruvuma Bahati Soko akielezea vifaa na zana halisi ambazo zlitumika na mashujaa wa vita ya Majimaji mwaka 1905 hadi 1907.
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa