Aurelius Joseph Njelekela Mkazi wa mji mdogo wa Peramiho Halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ameshinda Tuzo mbili ambazo ni mshindi wa kwanza katika mkoa wa Ruvuma katika ufugaji bora wa samaki na ameshinda Tuzo ya mshindi wa pili katika ufugaji bora wa samaki na kuku Nyanda za Juu Kusini
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Williamu Lukuvi akifungua Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Ruvuma na uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Manispaa ya songea.
Rc Mndeme akikagua vibanda vya maonesho ya Nanenane vya Manispaa ya Songea iliyofanyika Jijini Mbeya.
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa