Wakazi wa mkoa Ruvuma wametakiwa kuwa mstari mbele kupinga matumizi ya madawa ya kulevya na kuwafichua wanaotumia kwani yamekuwa yakipunguza nguvu kazi ya taifa
Wahudumu 66 kutoka tarafa ya Ruvuma wilaya ya songea vijijini mkoani Ruvuma wametakiwa kutoa elimu sahihi kwa wagonjwa waishio na virusi vya ukimwi
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa