Figure 1; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mh Rajabu Hassani Mtiula ni miongoni mwa viongozi walioshiriki mapokezi ya mwenge wa uhuru katika kata ya Lituhi Wilayani Nyasa mnamo tarehe 03/06/2018.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mh Christina Mndeme akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olonyokie Ole-Sendeka Lituhi wilayani Nyasa mnamo tarehe 03/06/2018.
Mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya Mh. Rajab Mtiula Kushoto akiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bwana Simon Bulenganija baada ya mapokezi ya mwenge wa uhuru wilayani Nyasa, Juni 2018
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa