• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

wakulima wa wapata milioni 789 za zao la ufuta kwenye mnada

Tarehe ya Kuwekwa: May 12th, 2020

WAKULIMA wa  zao la ufuta kutoka Halmashauri za Mbinga,Songea na Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wameuza kilo 352,774 za zao la ufuta kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani zilizowaingizia  zaidi ya milioni 789.

Mnada huo umefanyika jana katika soko la kimataifa la nafaka lililopo  OTC Lilambo Manispaa ya Songea ambapo Kampuni sita zilijitokeza kununua zao na kampuni ya Agro Processing ilishinda na kununua zao hilo kwa bei ya shilingi 2237 kwa kilo.

Akizungumza kabla ya ufunguzi wa mnada huo Mwenyekiti wa Kamati ya Mapato wa Halmashauri ya wilaya ya Songea Martin Mtani amewashauri Wakulima wa zao la ufuta  kukusanya na kuuza ufuta kwenye vyama vyao vya misingi (AMCOS).

 Mtani amewashauri wakulima wapeleke ufuta na soya kwenye vyama vyo vya msingi ili yakauzwe kwa mfumo wa stakabadhi gharani, ambao unafaida kwa mkulima badala ya kuuza lejaleja.

“Hadi sasa tumefanikiwa kukamata  magari manne ya mizigo yaliyobeba kilo 700 ambayo yalikiuka utaratibu wa kukwepa kulipa ushuru wa Halmashauri’’,alisisitiza Mtani.

 Mtani ametoa onyo kali kwa wasafirishaji wa mazao ya mfumo wa stakabadhi ghalani kuacha kukwepa kulipa ushuru wa Halmashauri  kwa kuwa watachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kutozwa faini ya shilingi laki mbili hadi million moja.

 Katika  msimu wa kilimo 2019/2020 Serikali haijatoa bei elekezi ya ununuzi na uuzaji wa mazao ya stakabadhi ghalani jambo ambalo ni faida kwa mkulima kwa sababu  inawapunguzia tozo ya shilingi 133 ambayo imebebwa na mnunuzi na wao kubakiwa na tozo ya shilingi 171 ambayo ni gharama ya usafiri na vifungashio.

mwisho

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa