• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

WAKULIMA Ruvuma washauriwa kulima miche bora ya kahawa

Tarehe ya Kuwekwa: August 8th, 2020

Wakulima Ruvuma watakiwa kuchangamkia fursa ya kilimo bora  cha kahawa

Wakulima wa Mkoa wa RUVUMA wametakiwa kuchangamkia fursa ya  miche ya kilimo bora  cha kahawa kwa sababu  maeneo mengi ndani ya Mkoa yanafaa kwa kilimo cha kahawa ambacho kitainua uchumi wao.

Wito huo umetolewa na mtaalam wa kilimo Bw Victa Akulumuka kutoka kituo cha utafiti wa zao la kahawa TaCRI cha Ugano Mbinga katika maonesho ya nanenane ngazi ya Mkoa wa Ruvuma yanayofanyika viwanja wa Msamala mjini Songea.

Akalumuka amesema wakulima wanatakiwa kuchangamkia fursa ya kulima zao la kahawa kwakuwa zao la kahawa linaonekana kustawi katika maeneo mengi ndani ya mkoa na kilimo ambacho kitainua uchumumi wao na Taifa.

Amewataka wakulima kuzingatia amri kumi za kilimo cha kahawa ambazo zinasaidia katika kustawisha zao la kahawa ambazo zitatoa matokeo chanya na kuongeza uzalishaji wenye tija kwa wakulima .

Amezitaja amri za kilimo bora cha kahawa kuwa ni  kukatia matawi,kutumia mbolea,kupulizia madawa kwa wakati,kupalilia nakuondoa machipukizi Pamoja na kupanda miti kwa ajili ya kutunza ubaridi katika shamba.

Aidha amesema endapo wakulima watafuatilia na kusimamia na kufuatilia kilimo cha kahawa mkulima anaweza kuvuna kilo tatu kwa shina moja,ambapo kwa hekali moja mkulima anaweza kuvuna kilo Zaidi ya 1500 kutokana na shamba lenye ukubwa wa hekali moja ambapo hupandwa  miche 540

Ameomba maafisa ugani wa wa Halmashauri mkoani Ruvuma kutoa elimu juu ya usimamizi na ufuatiliaji wa zao la kahawa kwalengo la kuwasaidia wakulima kupata mavuno mengi na kunufaika na kilimo cha kahawa ambacho ni miongoni mwa mazao ya kimkakati Nchini.

“Ukichukulia miaka 10 iliyopita eneo la Liganga wilayani Songea kwenye shamba la kahawa la AVIV palikuwa hapajulikani kama panafaa kulima zao la kahawa lakini kampuni ya AVIV imeonesha mfano kwamba ardhi ya Ruvuma inafaa kwa kilimo cha kahawa”,alisema Akalumuka.

Utafiti umebaini kuwa mkoa wa Ruvuma  una maeneo mengi ambayo yanafaa kwa kilimo cha zao la kahawa ikiwemo Wilaya Mbinga na wilaya ya  Songea katika kata za Liganga,Mbingamhalule,Kizuka,Parangu LItisha,Ndongosi na Mpitimbi na Madaba.

Kituo cha utafiti wa zao la kahawa TaCRI kinatoa huduma ya miche bure kwa wakulima wote na utaalama wa kulima zao la kahawa unapatika kutoka kwa maafisa ugani.

Imeandikwa na JACQUELEN CLAVERY

Afisa Habari Halmashauri ya Songea

Agosti 8,2020     

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa