• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

Tarehe ya Kuwekwa: May 11th, 2025


Kiongozi wa Mbio za  Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Ismail Ali Ussi, amepongeza kazi ya iliyofanya na  Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama  pamoja  na Uongozi mzima wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Ukiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe. Kapenjama Ndile, Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Menans Komba na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bi Elizabeth Mathias Gumbo kwa kujipanga sawa sawa katika kuukaribisha Mwenge wa Uhuru.

Ussi ameyasema hayo leo Mei 11, 2025 wakati wakikabidhi Mwenge wa Uhuru 2025 Mwenge wa uhuru 2025, wenye kauli mbiu isemayo “ jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu” kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, baada ya kuzunguka Zaidi ya Km 115, na kukagua Miradi 11 yenye thamani ya Zaidi ya Bilion 1.9 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea

Mwenge wa uhuru 2025, uliingia Halmashauuri ya Wilaya ya Songea Jana Mei 10, 2025 na umetembea jumla ya km 115.8, na kukagua jumla ya Miradi 11, yenye thaman ya zaid ya bilion 1.9 Katika miradi hiyo, Miradi 6, imekaguliwa, miradi 2 imezinduliwa, Mradi 1 umewekewa jiwe la msingi mradi 1 ugawaji wa Vyandalua kwa ajili ya kujikinga na Maralia na mradi mmoja ni kugawa majiko ya gesi.

“ Wananchi na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya songea, niwapongeze sana kwa kweli mmeupa hadhi na heshima mwenge huu wa Uhuru, kwanzia kwenye maandalizi, matembezi, Hamasa,  nyaraka pamoja jinsi mlivyojitokeza kwa wingi kwenye viwanja kwa mkesha pale Magagura. Mmempa heshima Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan”

Akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Songea, Ndg. Ismail Ali Ussi ameyataja mambo matatu muhimu wanapaswa kuyazingatia katika kipindi hiki “ Ndugu wananchi naomba niwape mambo matatu mnapaswa kuyafanyia kazi, Moja hakikisheni mnashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, pili Nendeni mkamheshimishe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa matumaini aliyowapatia wananchi wa Songea na Tatu WanaSongea Mmekua na Amani na Utulivu, na Mwenge wa Uhuru umeacha Amani na Utulivu, niwasihi sana, endelezeni Amnani hii na Utulivu.

Aidha mkimbiza mwenge amepongeza jitihada zinazofanywa na viongozi wa Halmashauri katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inakamilika kwa wakati.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • WASIRA ATIA NENO UKAMILISHAJI WA MIRADI SONGEA DC, AMPONGEZA DKT. SAMIA

    June 12, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SONGEA AWAPONGEZA WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA KUSIMAMIA VIZURI UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE BORA

    June 11, 2025
  • MATUMIZI YA LISHE ILIYO BORA YASISITIZWA MASHULENI

    June 10, 2025
  • KITUO CHA AFYA MATIMILA CHAKABIDHIWA GALI LA WAGONJWA.

    June 06, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa