Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake.
Kampeni hii hufanyika kuanzia tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba ya kila mwaka kwaajili yua kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake.
Siku hiyo ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1991, siku hii inaongozwa na kituo cha kimataifa cha Wanawake, tarehe 10 ilichaguliwa rasmi kuwa siku ya kilele cha maadhimisho haya ikiambatana na siku ya haki za binadamu duniani.
Kauli mbiu ‘’kila uhai unathamani; Tokomeza Mauwaji na Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa