Mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songea unaofanyika kwenye kata ya Mpitimbi umefikia asilimia 90 na umegharimu shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na serikali ya Awamu ya Tano kutekeleza ujenzi wa majengo saba kati ya 22 yanayotakiwa.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa