MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndugu Neema Maghembe anawakaribisha watumishi wote wa ajira mpya wa kada ya Afya na Elimu.
Aidha, amewataka kuripoti kazini mapema kama maelekezo ya Serikali yalivyoelekeza.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa