Tarehe 08/03 kila mwaka ni siku ya wanawake duniani.
Katika kuadhimisha siku hiyo, wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakiungana na wanawake wenzao duniani wamepanga kufanya shughuli zifuatazo.
Majadiliano ya kitalaam ya kuwajengea uwezo wanawake,maonesho ya bidhaa mbalimbali zinazo zalishwa na wanawake na shughuli za kutoa huduma kwa makundi maalum.
Kauli mbiu ikwa ni KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA TUIMARISHE USAWA WA JINSIA NA UWEZESHAJI WANAWAKE VIJIJINI.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa