MWENYEKITI wa UWT Taifa Ndugu Mary Pius Chatanda ametembelea Soko la Peramiho A lililotekelezwa kwa fedha kiasi cha shilingi milioni 185.8 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
"Kipekee nichukue nafasi hii kumpongeza na kumshukuru Mheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha za kujenga soko hili ambalo limewasaidia wafanya biashara kufanya kazi katika mazingira mazuri", amesema Ndugu Chatanda.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa