• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

MKATABA WA UJENZI WA KIWANDA KIKUBWA CHA SUKARI CHA BILIONI 500 WASAINIWA SONGEA

Tarehe ya Kuwekwa: January 24th, 2024

MKATABA wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha sukari  chenye thamani ya shilingi bilioni 500  ambacho kinajengwa katika Kijiji cha Magwamila Kata ya Lilai Muhukuru wilayani Songea mkoani Ruvuma umesainiwa kwenye ukumbi wa Mkuu wa Wilaya Songea Januari 23,2024.

Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile amesema mkataba huo ni makubaliano ya awali baina ya viongozi wa Kijiji cha Magwamila na wawakilishi wa Songea Sugar Limited  ambayo ni tawi la kiwanda cha Kagera Sugar ambao hivi sasa wamewekeza nchini Uganda  na  wameamua kuanzisha tawi la kiwanda hicho mkoani Ruvuma .

“Mkataba umeshuhudiwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Songea,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na wawakilishi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini  chenye makao makuu yake jijini Mbeya’’. alisisitiza DC Ndile.

Ndile amewataka wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla kujiandaa kuupokea uwekezaji wa kiwanda kikubwa cha sukari katika Katika Kijiji cha Magwamila.

Amesisitiza kuwa  wawekezaji  hao wanatarajia kuweka zaidi ya bilioni 500 katika kiwanda hicho, ambapo kiwanda kitazalisha tani zaidi ya laki moja kwa mwaka.

 Ameongeza kuwa kiwanda hicho kitaweza kuzalisha umeme ambao utaweza kuuzwa kwenye grid ya Taifa, pia kitazalisha mafuta aina ya ethane ambapo amesema kuwepo kwa kiwanda hicho kitaleta manufaa makubwa katika  wilaya ya Songe ana Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla.

Kwa upande wake  Mchumi Mwandamizi wa Bodi ya Sukari Tanzania Joshua Mhando ameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji.

Naye Mwakilishi wa Mwekezaji wa kiwanda hicho, Kapil Dave ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuweka utaratibu mzuri wa uwekezaji ambapo ameahidi kufanya uzalishaji wenye tija na wenye kuleta maendeleo chanya.

Eneo la uwekezaji wa kiwanda cha sukari linatarajiwa kuwa na ukubwa wa hekta 30,000 kati ya hizo hekta 22,000 zitakuwa kwa ajili ya kilimo cha miwa na hekta 8,000  kwa ajili ya ufungaji wa mitambo ya kiwanda, barabara za ndani, maghala, makazi ya watumishi, ujenzi wa huduma za kijamii

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa