Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameongoza zoezi la upandaji miti katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ambapo jumla ya miti 560 imepandwa katika maeneo yote ya miradi iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru.
Aidha amesisitiza wananchi kuendelea kupanda miti katika maeneo yao na maeneo yaliyopo karibu na vyanzo vya maji ili kutekeleza agizo la Serikali la Utunzaji wa mazingira.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa