• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Dr Nyimbi apongeza utekelezaji wa Ilani Songea DC

Tarehe ya Kuwekwa: September 20th, 2021

Katibu Mkuu wa Jumuia ya Umoja wa Wanawake Tanzania  Dr Philis Nyimbi amewapongeza  wananchi na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa utekeleza mzuri wa ilani ya chama cha Mapinduzi kwa kusimamia vema fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Dr Nyimbi ametoa pongezi hizo  katika ziara yake ya kikazi aliyoifanya hivi karibuni  katika Halmashauri hiyo na kuzungumza na wanachi kupitia mikutano ya hadhara katika  Kata ya Parangu na Maposeni.

Dr Nyimbi amesema Ilani ya ccm katika wilaya ya songea inasimamiwa na kutekelezwa kwa viwango vinavyokubalika hivyo ,usimamizi wa fedha zinazotelewa na serikali kwa ajilia ya ujenzi wa miradi uendelee kusimamiwa vizuri na kutatua kero za wananchi.

“Kwadhati ya moyo wangu nimefurahishwa sana na utekelezaji wa Ilani ya CCM”,amesma Dr Nyimbi.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Mhe. Jenista Mhagama amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwakuendelea kutoa pesa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Jimbo la Peramiho.

 Mhe. Mhagama amesema mageuzi katika sekta mbalimbali yanaendelea kufanyika kwa lengo la kuwasaidi wanachi kutatua changamoto zao na kujikwamua kiuchumi  kunako chagizwa na upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme ambapo huduma hiyo kwasasa  inapatikana kwa asilimia 80 na zoezi linalo endelea ni kufikisha huduma hiyo kwenye Vitongoji,ujenzi wa miundo mbinu ya barabara.

Ameitaja  miradi mingine kuwa ni ujenzi wa mradi mkubwa wa Shule ya Sekondari ya JENISTA MHAGAMA  inayoendelea kujengwa katika Kijiji cha Parangu katika Kata ya Parangu ambao umepewa kiasi cha shilingi zaidi ya bilioni moja ambao unatarajia kufunguliwa mapema mwakani 2022 kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na hatima kitato cha tano hadi sita.

Akizungumzia sekta ya Afya amesema Serikali imetoa shilingi milioni 500 ambazo zimetokana na tozo kwa ajili ya ujenzi wa Vituo vya Afya viwili ambavyo vinatarajiwa kujengwa Kata ya Kilagano na Liganga pamoja ujenzi wa uboreshaji wa vyumba vya kujifungulia akina mama katika Zahanati 10 ambazo ni Litowa,Mgazini,Kilagano,Ngahokora,Liula,Parangu,Muunganozomba,Kikunja,Lugagara na Peramiho(B)

Ameto wito kwa wanachi wa Jimbo la Peramiho kuendelea kuungamkono jitihada za Raisi kwa kufanyakazi kwa bidii na kuimarisha amani na utulivu.

Dr Nyimbi amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea akiwa na agenda ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ,Shukrani kwa wananchi kwa kukichagua Chama cha Mapinduzi kushika dola,Uhai wa Chama,Mahusiano na zoezi  la Sensa ambalo linatarajia kufanyika mwaka 2022.

Katika ziara hiyo Dr Nyimbi ametembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa shule ya sekondari Jenista katika Kijiji cha Parangu shule ambayo kukamilika kwake itatatua changamoto za watoto wakike ambao wamekuwa wakikabiliwa na vikwazo mbalimbali kikiweno cha mimba za utotoni.

Imeandikwa na

Jacquele Clavery

Afisa Habari

Songea DC.

 

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa