BARAZA la wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamepitisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo tarehe 06 Februari katika ukumbi wa mikutano Lundusi-Peramiho.
Baraza hilo limeudhuriwa na Viongozi wa vyama vya wafanyakazi na wataalamu.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa