• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

WAZIRI Mpina aagiza mnada wa Upili kukabidhiwa Halmashauri ya Madaba

Tarehe ya Kuwekwa: January 7th, 2020

Waziri wa mifugo na uvuvi Luhaga mpina ameagiza  mnada wa Upili  uliopo katika eneo la  la Mtyangimbole  wilayani Songea mkoani Ruvuma likabidhiwe Halmashuri ya Madaba.

Waziri Mpina ametoa agizo hilo baada ya kutembelea na kukagua mnada huo katika ziara ya kikazi wilayani Songea.

Mpina ameziagiza Halmashauri za songea na madaba kukabidhiana soko hilo haraka ili serikali iweze kuendelea na taratibu za ukarabati wa soko hilo ili liweze kuingiza mapato ya serikali.

“Naagiza makabidhiano yafanyike haraka ili Halmaashauri inayo husika na uendeshaji wa soko hilo ifanye utekelezaji wake  na maduhuli ya serikali yakusanywe kulingana na sheria za Nchi’’,amesisitiza Mpina.

Aidha ametaka ukarabati ufanyike mara moja na kuajiri mlinzi wa muda atakayehusika na kulinda usalama wa eneo hilo na kuhakikisha mnada unafanyika ndani na siyo nje ya jengo kama ilivyo sasa hivi sasa ambapo mnada huo umekuwa uikiingizia kiasi cha wastani wa shilingi milioni 18  kwa mwaka.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema amesema soko la mnada la Mtyangimbole lilikuwa likimilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Songea kabla ya Halmashauri hizo kugawanywa mwaka 2014 na uendeshaji wake kufanywa na Halmashauri ya wilaya ya Songea huku maduhuli yakikusanywa na Halmashuri  ya Madaba.

Wadau wameishukuru serikali kwa maamuzi hayo na ukarabati ambao utaboresha mazingira ya kutolea huduma na kuimarisha biashara kwa sababu mazingira bora na mazuri humvutia mteja kuja kupata huduma bora.

Imeandikwa na Jacquelen Clavery

Afisa Habari Songea DC

Januari 7,2020

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI 28 VAPATIWA MIKOPO YA TSH MILIONI 249 NA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    July 03, 2025
  • ZAIDI YA MILIONI 600 ZIMETUMIKA KUJENGA STEND YA KISASA PERAMIHO

    July 01, 2025
  • Ujenzi wa Mradi wa Barabara Likuyufusi–Mkenda ni fursa mpya ya Maendeleo ya Songea Dc.

    June 20, 2025
  • WASIMAMIZI WA MIRADI WASISITIZWA KUZINGATIA UADILIFU NA UFANISI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO SONGEA DC

    June 19, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa