• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

Dkt Damas Ndumbaro azindua mashine

Tarehe ya Kuwekwa: March 16th, 2021

Waziri wa Maliasilii na Utalii Dkt Damas Ndumbaro amezindua mashine ya kisasa  ya kuchakata magogo itakayosaida kuongeza thamani ya mnyororo wa mazao ya misitu na uvunaji wenye tija.

Dkt Ndumbaro amefanya uzinduzi huo katika viwanja vya parokia ya Bombambili Manispaa ya Songea

Dkt Ndumbaro amezindua mashine yenyethamani ya shilingi  milioni 110 yenye uwezo wa kuchakata mbao 450 kwa siku ambapo itafanyakazi katika Vijiji tisa vilivyofanyiwa upembuzi yakinifu wa matumizi bora ya ardhi na vyenye misitu ya kutosha kupitia mradi wa FORVAC katika Halmashauri ya Wilaya yaSongea na Namtumbo. 

Dkt Ndumbaro  amesema uwepo wa  mashine hiyo unafaida kubwa katika kuongeza thamani ya uchakataji wa  mazao ya misitu kwakuwa asilimia 60 ya mazao yanayochakatwa  nibidha inayohitajika sokoni  tofauti na awali upotefu wa mazao ya misitu ulioneka kuwa mkubwa.

Ametoa rai kwa viongozi wa Taasisi na wadau wa mazao ya misitu kuimarisha uchumi wa wananchi kwakununua na kutumia  mazao ya misitu yanayochakatwa na Vijiji kupitia mradi wa FORVAC.

“Uvunaji wa  misitu lazima ufanyike bila uvunaji hakuna thamani kwenye misutu”,amesema Dkt Ndumbaro.

Dkt Ndumbaro amewataka wadau wa misitu  Nchini wazingatie taratibu na sheria zilizowekwa katika uvunaji endelevu wa misitu pamoja na ulipaji kodi stahiki kwa Taifa,Halmashauri na vijiji wanapochakata mazao ya misitu.  

Amewakumbusha wananchi juu ya umuhimu wa kutunza misitu hasa mistu ya asili kwa kutochoma moto ovyo na kuacha shughuli nyingine za kibinadamu ambazo zinasababisha uharibu wa mazngira, mazingira yakiharibiwa  yanaathari kubwa kwa viumbehai.

Kwaupande wake mwekiti wa kamati ya maliasili  kutoka kijiji cha Muhukuru Lilahi amesema kupitia mashine ambayo Waziri Dkt Ndumbaro ameizindua wanatarajia kuingiza kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 200 kwa mwakajambo linaloonekana kuwa mkombozi wa maisha yao.

Imetayarishwa na kuandikwa na,

Jacquelen Clavery

Afisa Habari SongeaDc

Matangazo

  • WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA January 06, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA June 03, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RC Mndeme atoa maagizo kwa wadau wa kilimo na ushirika

    April 13, 2021
  • WENYEVITI wa vyama vya msingi vya Ushirika Songea waonywa

    April 09, 2021
  • MPANGO aja na wembe ule ule

    March 31, 2021
  • RAIS SAMIA;Tanzania haitarudi nyuma

    March 24, 2021
  • Ona Zote

Video

FAHAMU RATIBA ZA USAFIRI WA NDEGE SONGEA HADI DAR
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa