Halmashauri ya wilaya ya Songea ni miongoni mwa Halmashauri ambayo inatekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inafadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Katika kipindi hiki Halmashauri ya Wilaya ya Songea inatekeleza miradi ya TASAF awamu ya Tatu (III) ambayo inahusiana na Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na Miradi wa kutoa ajira ya muda (PWP) kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa