MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mhe. Simon Kapinga ambaye amemwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Menas Komba amewataka watendaji wa Kata kusimama katika nafasi zao ili waweze kutekeleza vyema majukumu yao.
Ameyasema hayo katika kikao kazi kilichoudhuriwa na Waheshimiwa Madiwani, watendaji wa kata pamoja na wakuu wa Idara katika ukumbi wa mikutano Lundusi-Peramiho.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa