WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Maposeni wameshiriki zoezi la usafi Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi tarehe 29/10/2022. Zoezi hilo lilifanyika katika mazingira ya Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Songea iliyopo Lundusi Peramiho.
Akizungumza Mkurugenzi wa Halmashauri Ndugu Neema Maghembe amabae amewakilishwa na Afisa Mazingira Makisio Chengul ameushukuru Uongozi wa Sekondari Maposeni na Wanafunzi kwa Kushiriki zoezi hilo
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa