• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

RC Thomas afurahishwa na hatua nzuri ya ujenzi Mpitimbi.

Tarehe ya Kuwekwa: November 25th, 2022

SHULE ya Sekondari Mpitimbi ni miongoni mwa shule iliyopokea fedha kiasi cha Shilingi Milioni 40 kwaajili ya kutekeleza mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa.

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewapongeza kwa hatua nzuri ya ujenzi ambapo wapo hatua za mwisho za kumalizia ujenzi yaani kupaka rangi na kuweka marumaru.

Kwaupande wake Mkuu wa Shule Mwalimu Patrick Matembo amemshukuru Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Mbunge Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama kwa kuwaletea fedha kwaajili ya ujenzi wa madarasa.

Amesema mradi huu wa madarasa unakwenda kupunguza uhaba wa madarasa shuleni na utasaidia kupunguza utoro kwani madarasa haya ni ya kisasa na yanavutia wanafunzi.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC Ndile ashiriki zoezi la upandaji miti.

    February 02, 2023
  • DC Ndile awataka watumishi kufanya kazi kwa umakini.

    February 02, 2023
  • YALIYOJILI katika kikao cha robo cha baraza Songea Vijijini.

    February 01, 2023
  • CHAMA Cha Mapinduzi katika utunzaji wa mazingira.

    January 30, 2023
  • Ona Zote

Video

MADARASA ya UVIKO 19 Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa