Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Joakim Mhagama ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa mawili na matundu matatu ya vyoo katika shule ya msingi Nakawale unaotekelezwa kwa fedha kiasi cha shilingi milioni 53.1 kutoka Serikali Kuu kupitia mradi wa BOOST leo Julai 12, 2023.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa