Afisa Michezo wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anawatangazia wananchi wote wa mji wa Peramiho na vitongoji vyake kuwa Septemba 18 mwaka huu kufanyika mchezo wa mpiira wa miguu wa kirafiki kati ya timu ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya makao makuu dhidi ya Timu ya Afya ya Peramiho.Mchezo huo unatarajia lkufanyika katika uwanja wa Trade Peramiho kuanzia saa nane mchana.Wote mnakaribisha hakuna kiingilio.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa