Ujenzi wa hospitali hiyo umegharimu kiasi cha shs billion 1.8 fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa wilaya ya songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameagiza kila mtu anayevuka katika kituo cha Uhamiaji cha Mkenda ambacho kipo mpakani mwa nchi ya Msumbiji na Wilaya ya songea kwa upande wa Tanzania kuhakikisha wanapimwa ili kukabiliana na virusi vya korona.Kituo hicho kila mwezi huvusha wageni zaidi ya 200 kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa