Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa