• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Waziri/mbunge ahaidi kuwasaidia wananchi

Tarehe ya Kuwekwa: October 9th, 2018

Waziri ahadi kuendelea kuwasaidia wananchi

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu sera, Bunge,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Mh Jenista Mhagama amesema ataendea kuunga mkono jitihata za wananchi katika utekelezaji wa mradi ya maendeleo

Mh mhagama amesema hayo kupitia mikutano mbalmbali aliyoifanya na wanachi wa Jimbo la Peramiho  hivi laribini.

Mh Mhagama amesema ataendelea kuunga mkono jitihada za wananchi katika utekelezaji na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya wananchi kwa kuwachangia fedha na vifaa vya kiwandani Vikiwemo saruji na bati.

Ameitaja baadhi ya miradi hiyo ni miundo mbinu ya barabara,umeme na huduma za jamii kama vile Afya,Maji na Elimu.

Amewataka wananchi kutoa ushirikiano katika jitihada zake za kuchangia miradi ya maendeleo na kumtia moyo badala  kubeza juhudi hizo.

Amesema hadi kufikia mwaka 2020 atahakikisha huduma ya umeme imefika katika vijiji vyote vya jimbo la Peramiho na huduma za maji zinapatika kupitia chanzo cha Luyeleha na baadhi ya Vijiji vimeanza kunufaika na mradi huo.

Wananchi wamemshukuru Mh Mhagama kwa kuwachangia katika miradi yao na kuwatembelea na kubaini changamoto zinazo wakabiri na kuzipatia uvumbuzi

JACQUELEN CCLAVERY-TEHAMA

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SIKU CHACHE ZATOLEWA MIFUGO ILIYOINGIZWA KINYEMELA IONDOLEWE KIJIJI CHA LIANGWENI.

    November 23, 2023
  • MKUU WA MKOA RUVUMA; "VIONGOZI WA KIMILA TUMIENI MAMLAKA YENU KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZETU".

    November 22, 2023
  • DKT. CHARLES MSONDE ARIDHISHWA NA UBORA WA UJENZI SEKONDARI MAPOSENI.

    November 22, 2023
  • Dkt. Kaijage aipongeza Awamu ya Sita kwa kuwajali Watumishi

    November 13, 2023
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa