WAZIRI Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda amewataka Viongozi na wataalamu kufanya mkakati wa kuanzisha soko la pamoja la uuzaji wa bidhaa ya batiki zinazotengenezwa na wajasiriamali.
Ameyasema hayo wakati alipotembelea banda la maonesho ya Nane nane la Halmashauri ya Wilaya ya Songea lililopo katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Agosti 5, 2023.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa