• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

WANANCHI WAPONGEZA HUDUMA BORA HOSPITALI YA WILAYA YA SONGEA

Tarehe ya Kuwekwa: November 8th, 2023


Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea waipongeza Serikali kwa huduma bora ya matibabu wanayoipata katika Hospitali ya Wiliya ya Songea iliyopo kata ya Mpitimbi wakati wa ziara iliyofanywa na Mkurugenzi wa mtandao wa utawala bora Mkoa wa Ruvuma Michael Sadic katika Hospitali hiyo.

Wakizungumza na vyombo vya habari wameishukuru serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mhe Raisi wa awamu ya sita Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa watu wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwamba wanahitaji Hospitali kwaajili ya huduma bora za afya na kwa hakika wanapata huduma bora.

Kanuti Kapinga mkazi wa Kijiji cha Mpitimbi Kata ya Mpitimbi anasema “ kwa hakika tunafurahishwa sana na huduma tunazozipata katika hospitali hii kwani tumerahisishiwa sana kwenda umbali mrefu tukipata rufaa lakini kwa sasa tunapata huduma hapahapa nitoe wito kwa wananchi wengine wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na maeneo mengine waje wajionee ubora wa huduma zinazopatikana katika hospitali hii”.

Pia Rotilinda Njogopa mwananchi wa Kijiji cha Mpitimbi amesema “Kwakweli Tunaishukuru sana Serikali yetu kwa usimamizi mzuri katika miradi yake hasa katika Hospitali hii ya wilaya ya Songea kwamaana tunapata huduma nzuri na yenye viwango, kwakweli tunawashukuru katika hili pia nawaalika na wananchi wengine kuja kutibiwa hapa kwani watapata huduma bora sana”.

Nae Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Jackson Luena ameeleza “huduma zinaopatikana katika hospitali hii ni pamoja matibabu ya wagonjwa wa ndani na wa nje, huduma ya macho, meno, huduma ya mama na mototo pamoja na kifua kikuu na ukoma  pia katika hospitali hii  tulianza na wahudumu watano lakini kwa sasa tupo 41 na bado tunatararia kupokea madaktari wengine siku chache zijao hii inaonesha namna gani serikali inatujali ili kuhakikisha tunatoa huduma bora kwa wananchi, hivyo niwaalike wananchi kutoka sehemu mbalimbali kuja kutibiwa katika hospitali hii”.

Pia Mhe Issa Kindamba Diwani wa Kata ya Mpitimbi ameishukuru serikali Chini ya Mhe Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanania Raisi wa awamu ya sita Dkt Samia Suluhu Hassani, pia Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe Menas Komba pamoja na baraza la Madiwani na Mkurugeni mtendaji waHalmashauri ya Wilaya ya Songea kwa kuwajengea Hospitali kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea na hasa katika Kata ya Mpitimbi pia ametoa wito kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali kwenda kutibiwa katika hospitali hiyo kutokana na huduma bora inayopatikana katika hospitali hiyo.




Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI 28 VAPATIWA MIKOPO YA TSH MILIONI 249 NA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    July 03, 2025
  • ZAIDI YA MILIONI 600 ZIMETUMIKA KUJENGA STEND YA KISASA PERAMIHO

    July 01, 2025
  • Ujenzi wa Mradi wa Barabara Likuyufusi–Mkenda ni fursa mpya ya Maendeleo ya Songea Dc.

    June 20, 2025
  • WASIMAMIZI WA MIRADI WASISITIZWA KUZINGATIA UADILIFU NA UFANISI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO SONGEA DC

    June 19, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa