• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

WANANCHI WAHIMIZWA KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA YA JAMII ILIYOBORESHWA (improved Community Health Fund ( iCHF) )

Tarehe ya Kuwekwa: September 5th, 2023


Mratibu wa Bima ya afya ya jamiiiliyoboreshwa Joseph Ngwenya amewataka wananchi wa Kijiji cha Mdundualo  kujiunga na Mfuko wa Bima ya afya iliyoborehwa iCHF ili wasipate changamoto ya matibabu pale wanapougua.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa Kijiji uliofanyika Tarehe 4 September katika Kijiji hicho ambapo katika maelezo yake amesema kwamba Bima hiyo inamanufaa makubwa sana richa ya kwamba inapatikana kwa bei nafuu.

" Bima hii inakatwa kwa TSh30,000 ikiwa na jumla ya wanachama sita kwa mwaka mzima ambapo miongoni mwa hao wanachama sita kila mmoja atachangia TSh5000 na mwanachama utaweza kutibiwa katika Zahanati kituo cha afya au hospitali yoyote ya serikali nchi nzima bila kutozwa gharama zozote ukiwa na kadi hiyo vilevile gharama hii itaambatana na upigaji wa picha kwa kila mwanachama miongoni mwa hao wanachama sita" Alisema Joseph Ngwenya.

Pamoja na hayo Joseph Ngwenya amesema kwamba sio lazima Bima hiyo itoke katika familia tu bali hata vikundi mbalimbali wanawezakuungana wanachama sita na kuweza  kupata Bima Yao na ikaweza kuwasaidia.

Sambamba na hilo amewataka wananchi kutoa taarifa iwapo mwanachama yeyote amekwenda kutibiwa akiwa na Bima hiyo na kupata changamoto yoyote ili aweze kutatuliwa  mara moja.

Nao wananchi wameshukuru kwa kupewa elimu hiyo kwani wanaamini kuwa kupitia Bima hiyo itaweza kuwasaidia hata wakati ambao hawatakuwa na pesa za kutosha mifukoni kwani maradhi hayachagui muda wa kuingia mwilini mwa mtu ambapo wamesema.

Felix Nditi, mwananchi " Tunawashukuru sana maafisa kwa ujio wenu katika hiki Kijiji na kutupa elimu hii ya Bima ya afya iliyoboreshwa na kupitia elimu hii naamini wengi tutajiunga kwani hii haijawahi tokea mwanzo tulikuwa tunalipa elfu10 kwa mtu mmoja lakini saivi Tumeambiwa elfu30 kwa watu sita hii itatusaidia sana sisi watu wa Hali za chini hususani katika kipindi cha kilimo Hali zinakuwa ngumu hivyo Mimi nawashauri wananchi wenzangu kujiunga na Bima hii"

Mfuko huu wa Bima ya afya iliyoboreshwa iCHF umeboreshwa toka mtu mmoja ambapo alikuwa akilipia elfu10 kwa mwaka hapo awali na sasa Bima hiyohiyo inalipiwa elfu 30 kwa watu sita huku kila mwanachama miongoni mwa hao watu sita atajipatia kadi yake ya matibabu.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • WAZEE WA WILAYA YA SONGEA, WAUNGANA NA WAZEE WENGINE DUNIANI KOTE KUADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

    October 01, 2023
  • WANANCHI WANUFAIKA UPATIKANAJI WA HATI ZA VIWANJA KWA URAHISI

    September 27, 2022
  • SONGEA DC WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO

    September 14, 2023
  • SIKU YA WAZEE DUNIANI, "UTHABITI WA WAZEE KWENYE DUNIA YENYE MABADILIKO"

    September 26, 2023
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa