• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

WAKULIMA Songea wanufaika na ufuta

Tarehe ya Kuwekwa: September 21st, 2020

Wakulima wa zao la ufuta na soya wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamenufaika na mfumo wa stakabadhi ghalani kwa kupata zaidi ya shilingi bilioni 4 baada ya kuuza  mazao  hayo kupitia mfumo huo kwa msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020.

Afisa Ushirika wa Halmashauri hiyo Bw Shekiel Massawe amesema  katika kipindi hicho cha msimu wa kilimo cha mwaka 2019/2020, wakulima wamefanikiwa kuuza jumla ya kilogramu 2,378,172 za ufuta na kilogramu 100,774 za zao la soya.  

Massawe amesema katika mauzo hayo Halmashauri imepata jumla ya shilingi milioni 259,462,700 kutokana  ushuru wa kuuza mazao kwanjia  mfumo huo.

“Stakabadhi ghalani ni mkombozi kwa mkulima kwasababu unampa mkulima uhakika wa soko na bei”,alisema Massawe.

Massawe amesema mfumo wa stakabadhi ghalani ni mkombozi kwa wakulima kwa sababu unamsaidia mkulima kuuza mazao yake kwa bei ya uhakika na kumwongezea kipato,upatikanaji wa soko,na kwamba  wanalipwa kwa wakati ndani ya siku mbili baada mnada kufanyika.

Ameongeza kwa kusema kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani umetoa uwigo mpana kwa mkulima kuuza mazao yake tofauti na awali kabla ya mfumo, na kwamba baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wakiwanyonya wakulima  kwa kuwapangia bei wanazo taka wao.

Amesema Mfumo wa stakabadhi ghalani ulianza mwaka kwa lengo la kuwasidia wakulima kuuza mazao yao na upatikanaji wa uhakika wa soko na kwamba katika kipindi cha kunzia Mei 4 hadi Agosti 5 mwaka huu jumla ya minada tisa imefanyika.

Mazao yaliyopendekezwa kuuzwa kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ni ufuta, soya na mbaazi.Hata hivyo amesema kwa msimu wa kilimo wa 2019/ 2020 mbaazi hazikuuzwa kwa sababu wakulima hawakufikisha zao hilo mnadani. 

Imendikwa na Jackline Clavery

Afisa Habari Halmashauri ya Wilaya  Songea

Septemba 14,2020

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA YAMEANZA SONGEA DC

    April 29, 2025
  • MHE . JENISTA MHAGAMA AZINDUA MADARASA 27 NA VYOO MATUNDU 44, SONGEA DC

    March 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa