• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Uboreshaji wa miundombinu ya afya mkoa wa Ruvuma

Tarehe ya Kuwekwa: July 22nd, 2020


Uboreshaji wa Miundombinu ya Afya

Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa fedha kiasi cha Tsh 12,854,209,081 kwa ajili ya kujenga na kukarabati vituo vya kutolea huduma za afya 25 na nyumba za watumishi kwenye Halmashauri zote nane (8) za Mkoa wa Ruvuma.

Hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba hadi ya kufikia June, 2020.

Serikali ya Dkt.John Pombe Joseph Magufuli imeongeza upatikanaji wa dawa  kwa  kuongeza fedha kutoka Tsh 883,303,792 mwaka 2015 hadi kufikia Tshs. 4,545,139,214 mwaka 2020  ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka  51% mwaka 2015 hadi 96% mwaka 2020.

Mapambano dhidi ya UKIMWI

Mkoa wetu unaendelea na mapambano katika kukabiliana na tatizo la Kupunguza maambukizi ya UKIMWI ambapo hadi kufikia mwaka 2020, maambukizi ya UKIMWI yamepungua hadi kufikia 5.6% kutoka 7% mwaka 2015.

Vifo vya wazazi

Idadi ya vifo vya akina mama wajawazito vimepungua kutoka vifo 46 mwaka 2015 hadi vifo 19 mwaka 2020. Hii inatokana na uanzishwaji wa huduma za dharura za upasuaji katika vituo vya afya vilivyoboreshwa kwa utekelezaji wa mpango wa “Tuwavushe Salama” ulioasisiwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Vifo vya watoto chini ya miaka mitano

Hali ya vifo vya watoto chini ya miaka 5 katika mkoa wa Ruvuma vimepungua hadi kufikia 5/1000 ukilinganishwa na vifo 12/1000 mwaka 2015. Aidha, vifo vya watoto chini ya mwaka 1 navyo vimepungua kutoka vifo 9/1000 mwaka 2015 hadi vifo 3/1000   mwaka 2020, hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika sekta ya afya.

Hali ya chanjo Mkoa wa Ruvuma

Mkoa umeendelea kutoa chanjo kwa watoto walio chini ya miaka mitano ili kuwapatia kinga dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa chanjo. Hadi kufikia mwaka 2020 Mkoa wa Ruvuma umeweza kutoa chanjo kwa Watoto kwa 119% ikilinganishwa na 96% mwaka 2015. Chanjo hizo ni pamoja na chanjo ya kuzuia  Kifua kikuu, Dondakoo, Kifaduro, Pepopunda kwa watoto wachanga, homa ya Ini na Nimonia. Haya ni mafanikio makubwa yaliyotokana na uwezekezaji mkubwa uliofanywa na Mh. Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli katika Afya kinga.




Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa