• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

TIMU YA MPIRA YA SONGEA DC FOOTBALL CLUB YAWA TISHIO MICHUANO YA ANSGARCUP

Tarehe ya Kuwekwa: June 27th, 2024


Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Songea DC FC, inayoshiriki michuano ya Ansgarcup inayofanyika katika kata ya Peramiho kwenye viwanja vya Ansgar na viwanja vya Tamasha Namihoro

Songea DC imeendeleza ubabe baada ya Kuifunga Madonga FC 2-1 na kufikisha alama 10 kwenye kundi B, magoli yaliyofungwa na kiungo Mshambuliaji Abdillah Mussa alimaarufu Mpemba.

Ushindi huo umeifanya timu hiyo kujinyakulia point 10 muhimu hivyo kuoongoza kundi B.

Akizungumza kwa niaba ya Timu, Menaja wa Timu hiyo Wakili msomi Hussein Hamidu amesema” tumeendelea kujifua kwa kushiriki michuano mbalimbali ili kujiweka sawa katika kushiriki Michuano mikubwa ya SHIMISEMITA inayotegemea kuanza Augost 25, 2024 jijini Mwanza.

Michuano ya AnsgarCup ni ligi ngazi ya kata.

Aidha, ili kuhamasisha Songea DC kufanikisha lengo, wadau mbalimbali wamekuwa wakihamasisha kwa kuahidi kununua magoli ambayo SONGEA DC watakuwa wakiyafunga, wadau hao ni pamoja na Mganga Mkuu wa Wilaya Geofrey Kihaule, Afisa Ardhi wa Halmashauri ndugu, Eliafao, na Afisa Elimu Msingi,  ndugu Sixbert Komba.

 Hii imekuwa ikileta hamasa ya wachezaji wetu kufanya vizuri, Tunaendelea kuwaomba wadau mbalimbali kuendelea kuishika mkono timu yetu ili iweze kufaniksha lengo la timu kwa kuhakikisha tumeweza kutwaa kombe hili.

Meneja ameendelea kumshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Songea Bi. Elizaberth Mathias Gumbo na viongozi wengine wa Halmashauri akiwemo Mbunge wetu wa jimbo la Peramiho, kwa kuendelea kutupa ushirikiano wa timu yetu.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa