Taasisi ya kuzuia na kupambana narushwa mkoani Ruvuma imefanikiwa kukagua miradi 8 maendeleo katika Wilaya za Tunduru,MbinganaNamtumbo kwania ya kubaini mianya ya rushwa
Kaimu mkuu wa Taasisi hiyo Bw oweni Jasson amesema hayo hivi karibu wakati akitoa taarifa ya utendaji wa kazi kwa kipindi cha miezi mitatu kwa waandishi wa habari katika ukumbi wa ofisi hizo mjini songea. jasson amesema walifanya ufutiliaji huo kwa lengo la kubaini kama kuna mianya ya rushwa katika utekelezaji na kuona kama fedha ya serikali na wafadhili inatumika kwa malengo yaliyo kusudiwa.
Ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwakufichua vitendo viovu katika Jamii kwani vita dhidi ya vitendo vya rushwa ni jukumu letu sote.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa