Taarifa kwa Umma
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anawakaribisha wananchi wote kushiriki Kikao cha Baraza la Madiwani kujadili hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ( CAG) utakaofanyika tarehe 28/06/2024 katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Kijiji cha Lundusi kata ya Peramiho.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa