TAARIFA KWA UMMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, anawatangazia wananchi wote waliopo Wilaya ya Songea Kuwa, kuanzia 6/05/2024 hadi 10/05/2024, kutakua na Jopo la Madaktari bingwa kutoka Wizara ya Afya katika hospitali ya Wilaya ya Songea iliyopo Mpitimbi
Huduma zitakazotolewa ni pamoja na ;-
Pia Daktari bingwa wa usingizi atakuwepo
Gharama za matibabu zitakua za kawaida kama zinazotumika kila siku ikiwemo Bima ya Afya, ICHF na papo kwa papo
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa