TAARIFA
Kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, (CAG)kilichopaswa kufanyika Ijumaa tarehe 28/06/2024, kimeahirishwa mpaka pale tutakapotangaziwa tena.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa niaba ya Halmashauri anaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Aidha Wananchi wote mnapaswa kuendelea kujipanga kwa ajili ya kikao hiko, ili taarifa itakapotolewa tujumuike kusikiliza na kuchangia katika Baraza hilo mihimu la Madiwani.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa