Wataalamu kutoka wizara ya Katiba na Sheria wametembelea ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia( Mama Samia Legal Aid Compaign) Songea Vijijini. Kampeni hiyo ilizinduliwa kitaifa Mkoani Ruvuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango tarehe 22 Julai 2023.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa