MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndugu Neema Maghembe anawapongeza Viongozi na Watumishi wote kwa ushirikiano katika utendaji kazi uliopelekea kupata hati safi katika hesabu za mwisho kwa mwaka 2021/2022.
Aidha, ametoa rai kuendelea kushirikiana ili Halmashauri izidi kusonga mbele zaidi.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa