Katika Siku 16 za kuelekea Kilele cha Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake na Watoto iliyoanza kuazimishwa kuanzia tarehe 25 Novemba 2022 na kilele chake inatarajiwa kufanyika tarehe 10 Desemba 2022, Wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakiongozwa na Afisa Ustawi Joseph Ngwenya wakishirikiana na Jeshi la Polisi wanaendelea kutoa elimu mashuleni.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa