• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

SHULE ya msingi Nakawale yapewa vifaa vya ujenzi

Tarehe ya Kuwekwa: December 7th, 2021


Kampuni ya Nkusu Theo Sugar imetoa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa vyumba viwili vya  madarasa katika Shule ya Msingi Nakawale iliyopo Kata ya Muhukuru barabarani Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma.

Afisa Fedha na Tawala wa kampuni hiyo Longanus Kagaruki amevitaja vifaa ambavyo wamevitoa kuwa ni saruji mifuko 100,nondo 24 za milimita 16,ndoo za rangi 10  kati ya hizo ndoo sita za rangi ya mafuta na ndoo nne ni za rangi ya maji na waya kwa ajili ya kuweka kwenye madirisha.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi.Neema Maghembe ameishukuru kampuni hiyo kwakusaidia maendeleo ya kujenga mazingira wezeshi ya kutolea huduma bora za elimu ambayo yatasaidia watoto kusoma na kujifunza vizuri.

Bi.Maghembe  amesema mazingira bora na mazuri ya kusomea na kujifunzia yanasaidia kuleta maendeleo chanya kwa familia na jamii kwasababu ni chachu ya mafanikio.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe.Menas Komba amewataka viongozi wa Kijiji kutumia vifaa hivyo kama walivyo viomba ili kuwatia moyo wadau wanaosaidia shughuli za maendeleo ndani ya Halmashauri badala ya kuwakatisha tamaa kwa kutumia misaada hiyo kinyume na taratibu.

“Naomba Mwenyekiti wa Kijiji umekabidhiwa vifaa ukavitumie  kama inavyotakiwa na wananchi waambiw”amesisitiza Menas Komba.

Mhe Komba amewarai  wadau mbalimbali wa maendeleo wanaotaka kuwekeza  katika shughuli mbalimbali za kiuchumi kufika katika Halmashauri hiyo kufanya shughuli za uwekezaji kwa sababu maeneo yapo ya kutosha na hali ya hewa inaruhusu inafaa kwa shughuli hizo.

Kampuni ya Nkusu Theo Sugar inatarajia kujenga kiwanda cha kuzalisha sukari katika Kijiji cha Nakawale mapema mwakani 2022 endapo taratibu zote zitakamilika ikwemo la kupatiwa hati miliki ya maeneo waliyoomba kwa ajili ya kazi hio ,kwasasa kampuni hiyo imeshaanza kulima miwa ekali zipatazo 50 kwa ajili ya uzalishaji wa sukari

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa