Mkuu wa Mkoa wa Chiristina Mndeme amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali wa Halmashauri ya wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma,zoezi lililo fanyika hivi karibuni katika mji mdogo wa Peramiho ambapo Halmashauri hiyo imegawa vitambulisho vyenye thamani ya zaidi ya sh.milioni moja na laki saba.
Mndeme ameagaza wajasilimaria wote wa dogo waweze kupewa vitambulisho hivyo wakiwemo wapika pombe za kienyeji halali,wapaka kucha rangi,waokota makopo ya plastiki nk
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa