• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

RC kanali Thomas akagua ujenzi wa nyumba ya watumishi Mpitimbi.

Tarehe ya Kuwekwa: November 25th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba ya watumishi wa hospitali ya Wilaya ya Songea iliyopo kata ya Mpitimbi Kijiji cha Mpitimbi B.

Kijiji cha Mpitimbi B kilipokea fedha kiasi cha Shilingi Milioni 68,376,600 kutoka Serikali Kuu kupitia mradi wa TASAF kwaajili ya utekelezaji wa mradi huo

Akizungumza katika ukaguzi huo amewapongeza viongozi na wananchi wote kwa kushirikiana vizuri katika kutekeleza mradi huu na kwa kasi ambayo wanaenda nayo.

‘’Nawasisitiza muendelee na kasi hiyohiyo mliyoanza nayo mimi ningependa mradi uweze kukamilika kabla ya muda ambao umepangwa ili muweze kuendelea na shughuli zingine za kilimo’’, amesisitiza RC Thomas.

Akizungumza Mtendaji Kijiji cha Mptimbi B Naomi Gerson Julius ametoa shukurani kwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuwaleta fedha hizo, Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama kwa kuendele kuwapigania kupata fedha za miradi mbalimbali.

Vilevile ametoa shukrani kwa uongozi wa Wilaya, Kata na Kijiji kwa ufuatiliaji mzuri na kutatua changamoto ndogondogo wanazokutana nazo kwa haraka.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC Ndile ashiriki zoezi la upandaji miti.

    February 02, 2023
  • DC Ndile awataka watumishi kufanya kazi kwa umakini.

    February 02, 2023
  • YALIYOJILI katika kikao cha robo cha baraza Songea Vijijini.

    February 01, 2023
  • CHAMA Cha Mapinduzi katika utunzaji wa mazingira.

    January 30, 2023
  • Ona Zote

Video

MADARASA ya UVIKO 19 Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa