Serikali ya Awamu ya Sita ikiongozwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, imetoa fedha kiasi cha Shilingi milioni mia ishirini kwa hopstari ya wilaya ya Songea, na Kituo cha Afya Magagura.
Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu Bi Zainabu Mbaruku, alisema “ Mradi huuu wa Nyumba za Madakatri uitengewa kiasi cha Shilingi TZS. 120,000,000.00/= ambapo kila nyumba ilitengewa shilingi TZS. 60,000,000.00
Mradi wa ujenzi wa nyumba nne za watumishi mbili kwa moja unaendelea katika hospital ya Halmashauri ya wilaya ya Songea na Kituo cha Afya kilichopo kijiji cha Magagura, Nyumba hizi zinauwezo wa kukaa watumishi nane zitasaidia Madaktari kukaa karibu na Hospitali hivyo kusaidia wagonjwa wataopatwa na dharula kwa mida isiyo ya kazi.
“ uwepo wa madkari karibu na eneo la kazi ( Hospitari) utaokoa uhai wa wananchi wengi sana wanaoishi karibu na Hospiytari lakjini pia vijiji jirani, kwani wananchi wengi huwa wanapata matatizo usiku hivyo kuwalazimu waletwe hospitali laikini kwa kua sasa madaktari bado hawahamia inakua changamoto kidogo.
Tushukuru sana Serikali, kwani sasa kwa kuwa na madaktari karibu watatusaidia sana wananchi kwani itakua rahisi pidi unapopata changamoto na kufika hospitali Daktari anakuja kukuudumia, Hivyo uwepo wa nyumba hizi karibu utasaidia sana wananchi kupata huduma masaa ishirini nan ne ( 24) lakini pia itawapunguzia Daktari gharama za kuishi kuliko huko ambako wamepanga vyumba.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa