MRATIBU wa Ukimwi Wilaya Daktari Kalebo Mwakasumbula ametoa elimu ya msingi kuhusu Ugonjwa wa Ebola Kwa Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Elimu hiyo imetolewa katika ukumbi wa Mikutano wa Mkurugenzi Lundusi Peramiho Leo Septemba 30, 2022.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa