• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

MKUU WA MKOA WA RUVUMA ATEMBELEA MRADI WA STAND YA KISASA LUNDUSI

Tarehe ya Kuwekwa: April 29th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Kanali. Ahmed Abbas Ahmed, ametembelea na kukagua  ujenzi Stand ya Kisasa iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Songea kata ya Peramiho.

Akisoma taarifa  Mratibu wa TASAF, Wilaya Halmashauri ya Songea Bi. Hossana Ngunge alisema “Fedha kiasi cha shilingi Milion Mia nne thalathini na nne, laki sita hamsini na saba elfu mia nane na mbili na senti sitini na nane ( TSH. 434,657,802.68) ziliwekwa kwenye akount ya Halashauri   kwa  ajili ya utekelezaji  wa mradi huu wa Stend ya Mabasi  mnamo mwezi Juni mwaka 2022.

Fedha hizo ni kwa ajii ya ujenzi wa Jengo la Utawala, Maduka 36, Vibanda vya walinzi viwili, vyoo matundu nane (8) pamoja na uzio

Aidha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, baada ya kupokea taarifa, aliipongeza kamati ya ujenzi lakini pia msimamizi wa ujenzi wa Stend hiyo akisema.

" niwapongeze sana kwa usimamizi mzuri wa mradii huu, uliofanywa na viongozi lakini pia wanakamati nimekagua, nimepokea taarifa, tuseme nimefarijika sana kwa utekelezaji wa mradi huu, hasa ushirikishwaji wa wananchi toka hatua za mwanzo "

Lakini pia kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bi Hosana Ngunge alimshukuru Rais wa Jmamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu hassani kwa kuwaletea fedha za ujenzi wa miundombinu ya Stendi.

Shukrani pia zilitolewa kwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama kwa kujitoa kwake kwa ajili ya wananchi wake.

Pamoja na hayo Mratibu alimshkuru pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya WIlaya ya Songea, Mhe. Menans Komba, kwa ufuatiliaji wa miradi ndani ya Halmashauri ya Songea lakinin pia Diwani kata ya Peramiho kwa ushirikiano anaoutoa katika utekelezaji wa miradi ndani ya Kata ya Peramiho.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa