HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imetumia fedha kiasi cha shilingi Milioni 14, 129,700 kutekeleza afua za lishe katika robo ya pili.
Hayo yamethibitishwa na Afisa Lishe Wilaya Joyce Kamanga leo kwenye kikao kilichoudhuriwa na wakuu wa Idara katika ukumbi wa mikutano wa Mkurugenzi.
Akizungumza katika kikao hicho amesisitiza wataalamu kwa kushirikiana na Viongozi wa Kata na Kijiji kuendelea kuhakikisha shule zote zinatoa chakula kwa wanafunzi.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa