WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Joakim Mhagama ameweka Jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Muungano.
Madarasa hayo yalianza kujengwa kwa nguvu za wananchi ambapo Halmashauri ilipeleka fedha kiasi cha shilingi milioni 29.6 kutoka mapato ya ndani na milioni 2.5 kutoka mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ukamilishaji.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa