Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba akimkabidhi Faudhia Fundi mwakilishi wa kada ya watunza kumbukumbu sanduku kwaajili ya kusambazia na kutunzia majalada ya siri.
Aidha, Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea inatoa shukrani kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kwaajili ya sanduku hilo.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa