Mh Jenista Mhagama (Mb) wa jimbo la Peramiho ametoa hundi ya sh. milioni saba kwa ajili ya ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi mbili katka shule ya msingi Manyonga iliyopo kata ya Peramiho,hundi hiyo imetolewa hivi karibuni alipo fanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalmbali katika jimbo hilo.
Adhima ya Mh Jenista Mhagama ni kuona mazingira ya kutolea huduma za elimu yanakuwa bora na yakuvutia kwa wanafunzi na walimu
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa